mazoezi si mchezoo
baadhi ya watu mbalimbali walikuwepo kuweka fiti miili yao
mambondia wa timu ya Ashanti ya Ilala Dar es salaam wakijifua ufukweni leo kushoto ni Ramadhani Fundi na Josephe Richard

Mabondia wa timu ya mchezo wa ngumi wa Ashanti boxing Klabu Josephe Richard Mnyama na Iddy Ramadhani wote wa Klabu ya Ashanti watacheza katika utangulizi wa mpambano wa Mada Maugo na Rashidi Matumla
No comments:
Post a Comment