Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakiwa wamebeba jeneza la marehemu Juma Mkambi wakati wakielekea katika maziko yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kisutu, jijini Dar es Salaam .
Rais wa Shirikisho la Soka Nchini TFF, Leodger Tenga, (katikati) akiwa ni miongoni mwa watu waliohidhulia maziko ya Juma Mkambi .

Wananchi waliojitokeza katika maziko ya Juma Mkambi wakiwa katika Makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment