
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MCHEZO WA POOL ISAC TOGOCHO AKIPAGAWA NA GITA LA SOLLO NA TOTOOO RIDHIWANI PANGAMAWE

MAMA NZAWISA SAMBAMBA NA DJ PAPA UPANGA

WAIMBAJI WA BENDI YA MSONDO WAKIPAGAWISHA WASHABIKI KUTOKA KUSHOTO ROMANI MNG'ANDE,SHUKULU MAJALIWA NA HAMISI MALIKI

MASHABIKI WA MSONDO WAKISELEBUKA WAKATI WA ONESHO LA BENDI YA MSONDO NGOMA

IBRAHIMU KANDAYA AKIWAPAGAWISHA WATOTO NA GITAA LA BESS

MPIGA TUMBA WA BENDI HIYO AMRI SAIDI DONGO

ROMAN MNG'ANDE AKIRAPI


MUSTAFA NAGARI AKIWA SA
hongeleni sana mi naomba kujua huyu dada anayekatika apo ni Helena Zakaria au? tumepoteana muda mlefu
ReplyDelete