Mkurugenzi wa Kampuni ya Executive Solution, Aggrey Mareale (wa pli kutoka kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja kulia kwake, Timea Chogo, wakikata utepe jana kuashiria uzinduzi rasmi wa duka la huduma za wateja wa Highlife wa Kampuni ya Zantel, litakalowawezesha wateja kupata huduma hapo. Duka hilo lipo Makao Makuu ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni hiyo, Ikechukwu Kalu na Mkurugenzi Mkuu wa Biashara, Nitish Malik.
PICHA ZOTE NA www.machellah.blogspot.com
No comments:
Post a Comment