Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, November 19, 2010

ZANTEL YAZINDUA DUKA LA HIGHILIFE


Mkurugenzi wa Kampuni ya Executive Solution, Aggrey Mareale (wa pli kutoka kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja kulia kwake, Timea Chogo, wakikata utepe jana kuashiria uzinduzi rasmi wa duka la huduma za wateja wa Highlife wa Kampuni ya Zantel, litakalowawezesha wateja kupata huduma hapo. Duka hilo lipo Makao Makuu ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni hiyo, Ikechukwu Kalu na Mkurugenzi Mkuu wa Biashara, Nitish Malik.
Wafanyakazi wa huduma kwa wateja wakiwa ndani ya duka hilo la High life,Adrienne Bonzon (kulia) na montini Tenga
Mfanyakazi wa Zantel
Mkuu wa Biashara, Nitish Malik na Mkuu wa Huduma kwa Wateja Timea Chogo wakifurahia jambo

Mkuu wa mawasiliano akiwakaribisha waandishi wa habari

PICHA ZOTE NA www.machellah.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...