Marquee
Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!
tangazo
Friday, November 26, 2010
young-dee-kupigwa-tafu-na-wasanii-kibao.
Mkurugenzi wa Fish Crab Records Lamar jana amezungumza juu ya uzinduzi wa album ya kwanza ya Young D inayoitwa Young Rapper, lamar amesema uzinduzi huo utafanyika siku ya tarehe 8 mkesha wa kuamkia siku ya uhuru ndani ya Maisha Club kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi.
wasanii kibao watakuwepo
Lina
,
Mwasiti, Barnaba, Amini, Maunda Zorro, Angie,Mataluma, Ditto, Sam wa ukweli, Sajna na Roma
huku wakipewa sapot na
Chege, Nakaaya, Jaffarai, Chidi Beenz, Geez Mabovu, Fid q
na wengine kibao.
be there and be square
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment