
Wakazi wa mji Mkongwe na vitongoji vyake mjini Zanzibar wakiwa wamejitokeza kwa wingi jana jioni kwenye tamasha la Msimu wa Dhahabu unaoendelea pamoja na Serengeti Fiesta Free Style 2011.

Pichani ni washiriki waliongia Robo Fainali ndani ya Ngome Kongwe, washiriki waliojitokeza walikuwa 24, na wamebaki washiriki nane ambapo anatafutwa mkali mmoja tu.

Pichani anaeongea ni mtangazaji wa Clouds Fm, Fatma Hassan a.k.a
Dj Fetty akitoa muongozo kwenye mchakato wa kumtafuta mkali wa Serengeti fiesta freestyle 2o11.

Baadhi ya wana wa Clouds Tv nao wakifuatilia kwa makini shindano la
No comments:
Post a Comment