
Baadhi ya watu wakiangalia mabaki ya moto baada ya kutokea moto soko la mchikichini Dar es Salaam juzi

Watu wakiangalia mabaki yaliyopo baada ya kuungua moto soko la mchikichini

Mmoja wa wafanyabiashara katika soko la mchikichini Dar es Salaam, Bw. Frank Michael akichukua mabaki ya mabati baada ya soko hilo kuungua moto mwishoni mwa wiki iliyopita
No comments:
Post a Comment