Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, August 1, 2011

Shindano La Miss Tourism Mbeya Lafana

Miss Tourism Mackrine Jastine

Washindi wa kwanza mpaka wa nne katika shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja

Kutoka kushoto ni msindi wa tatu Dina David katikati mshindi wa kwanza kulia kabisa mshindi wa pili Anna Barnabas
Washiriki wa Miss Tourism Mbeya wakiwa katika mavazi ya Ubunifu

Washiriki wa Miss Tourism Mbeya wakiimba wimbo wa Taifa
FM akademia walikuwepo kutumbuiza katika shindano hilo la kumsaka Miss Tourism Mbeya

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...