HELSINKI, Sweden
PROMOTA Frank Warren amekerwa na kitendo cha kutangazwa kwa amepoteza pambano lake la uzito wa juu dhidi ya Robert Helenius lililofanyika mjini Helsinki, Sweden.
Amelalamikia ushindi huo wa pointi kwa kueleza kwua bonsi wake hakufanyiwa haki hivyo kutaka kuandaliwa mechi nyingine ya marudiano.
Warren akwia na hasira alisema "ni moja ya maamuzi mabaya zaidi niliyowahi kuona katika mchezo".
Chisora alishindwa kutwaa ubingwa wa Ulaya licha ya kuonekana kutawala mchezo dhidi ya mpinzani wake ambaye ni raia wa Ujerumani.
Bondia huyo wa London mwenye umri wa miaka 27, alionekana kucheza vizuri na Warren anasisitiza Chisora alitakiwa kupewa ushindi na majaji mbele ya mashabiki 12,000 walikuwepo kushudia pambano hilo Jumamosi.
Majaji wawili walitoa alama 115-113 kwa Helenius ambaye alidai kuvunjika mfupa wa mkono wake wa kulia mwishoni mwa mchezo, huku jaji mmoja akitoa alama kama hizo kwa Chisora .
Kocha maarufu Freddie Roach alisema uamuzi huo ni mbaya na Warren ametaka pambano hilo kurudiwa.
Warren anahisi Chisora alicheza kwa kiwango cha juu licha ya kupoteza mechi ya pili mfululizo baada ya kupoteza mechi ya Tyson Fury Julai mwaka huu.
Alisema wataomba kwa Jumuiya ya Ngumi ya Ulaya kupitia pambano hilo kwa njia ya video kisha kumuru kurudiwa kutokana na maamuzi mabaya.
Alisema anatumini kuwa Bosi ya kusimamia masumbwi ya UIngereza itawaunga mkono katika hilo.

No comments:
Post a Comment