
Mchezaji wa timu ya Bunge, Sadifa Juma akimtoka Fatuma Haibu wa Twiga Stars katika mchezo wa kirafiki jana kwenye Uwanja wa Karume, Dar es Salaam ambapo Wabunge waliichangia Twiga, sh. mil 3. Katika mchezo huo Twiga ilishinda mabao 2-1.

Kikosi mchanganyiko cha timu ya Bunge

Kikosi cha timu ya wanawake ya soka ya Twiga Stars kilichochuana na timu ya Bunge

Twiga Stars ikifanya mazoezi

Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, William Nchimbi na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba (katikati) wakishuhudia mchezo huo
No comments:
Post a Comment