Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, October 8, 2013

NAPE AMLAKI KATIBU MKUU WA CHAMA CHA MPLA CHA ANGOLA


 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akimkaribisha Katibu Mkuu wa Chama Cha Ukombozi cha Angola, MPLA, Julio Mateus Paulo, baada ya mgeni huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam, jioni hii. Paul ni mmoja wa wakatibu wakuu wa vyama vya ukombozi Kusini mwa Afrika watakaoshiriki mkutano wa  makatibu hao keshokutwa jijini Dar es Salaam.
Paul akilakiwa na baadhi ya maofisa wa ubalozi wa  Angola nchini. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA0

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...