Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 5, 2013

NAPE AZUNGUMZIA MSIMAMO WA CCM JUU YA MCHAKATO WA KATIBAKatibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na
waandishi wa habari leo katika Ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM-Lumumba Dar es Salaam. Alikuwa akitoa ufafanuzi kuhusu masuala yahusuyo Mchakato wa Katiba mpya na kusema "tunaheshimu tume,tunaimani nayo na tunaahidi ushirikiano wa kutosha katika mchakato wa Katiba"

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...