Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, October 5, 2013

RAIS KIKWETE AFUNGUA UWANJA WA NDEGE WA MAFIA


 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi uwanja wa Ndege Mafia uliojengwa kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na mfuko wa Millenium Challenge Corporation(MCC),Kulia ni Mratibu wa shughuli za MCC nchini Bwana Bernard Mchomvu na katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Bi Mwantumu Mahiza na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya wananchi wa wilaya ya Mafia muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi Gati la Mafia leo asubuhi. Picha na Fredy Maro

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...