Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 6, 2013

TBL YAZINDUA PROMOSHENI YA NANI MTANI JEMBE

HENI YA NANI MTANI JEMBE
Evodius Mtawala, Aden Rage, Mohammed Bhinda na Mwalusako wakishindana kuvuta kamba. Katikati ni Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe na Mkurugenzi wa Masoko wa TBL, Kushila Thomas.  (Picha na Francis Dande)  
 Mashabiki wa Yanga na Simba wakisakata muziki wa dansi wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Nani Mtani Jembe inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.
Mwenyeikiti wa Simba, Ismail Aden Rage akiteta jambo na aliyekuwa Katibu Mkuu wa Yanga, Lawrence Mwalusako wakati wa uzinduzi wa tamasha la Nani Mtani Jembe linaloshirikisha mashabiki wa Simba na Yanga na kudhamiwa na TBL.
Viongozi wa Yanga na Simba wakicheza fussball wakati wa uzinduzi wa promosheni ya Nani Mtani Jembe inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...