
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji Joseph Sinde Warioba kabla ya mazungumzo yao, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 31,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu,Jaji
Joseph Sinde Warioba, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Oktoba 31,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment