Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, March 11, 2012

KAMPUNI YA TIGO YASAIDIA KOMPYUTA CHUO KIKUU CHA UDOM


Mratibu wa promosheni ya tigo katikaElimu Edward Shila akikabidhi msaada wa Kompyuta kwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Profesa Shaaban Mlacha juzi. Jumla ya Kopyuta 48 zenye thamani ya zaidi ya Sh 37 Milioni zilikabidhiwa na kampuni hiyo kwa ajili ya Kitivo cha sayansi ya tiba kwa jamii. Picha na Kwa hisani ya Tigo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...