Mratibu wa Matukio na Promosheni wa Kampuni ya Tigo, Edward Shila (kushoto) akimkabidhi chandarua chenye dawa walivyokuwa wakitoa kwa mmoja wa wangonjwa, Abdalah Mussa baada ya kupatiwa matibabu jana

Mratibu wa Matukio na Promosheni wa Kampuni ya Tigo, Edward Shila (kushoto) akimkabidhi chandarua chenye dawa walivyokuwa wakitoa kwa mmoja wa wangonjwa, Abdalah Mussa baada ya kupatiwa matibabu jana

Baadhi ya washiriki katika kusaidia wagojwa wakiwa katika nafasi yao ya kugawa vinywaji kwa ajili ya wagojwa waliojitokeza jana

Muuguzi wa Afya akitoa maelekezo ya jinsi ya kuepukana na ugojwa wa kisukari alisema moja ya njia ya kuepukana na ugojwa huo ni kufanya mazoezi
No comments:
Post a Comment