Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 16, 2012

EXTRA BONGO WAFANYA LISTERNING PARTY KWA WAANDISHI WA HABARI NA KUMTAMBULISHA RASMI RAPA MPYA WA BENDI HIYO FRANK KABATANO


Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky (kushoto) akimtambulisha rasmi Rapa mpya na mwimbaji wa bendi Kabatano hiyo, Frank wakati wa sherehe ya kusikilizisha nyimbo mpya za bendi hiyo(Listerning Party) kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam
Rapa mpya wa Bendi ya Extra Bongo, Frank Kabatano (kulia) akiimba mara baada ya kutambulishwa rasmi wakati wa sherehe ya kusikilizisha nyimbo mpya za bendi hiyo(Listerning Party) kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam jana.Kilia ni  Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky 
 Frank akiimba sambamba na Mkurugenzi wake
 Alichock akiimba wakati  swaiba wake akicheza Mhariri Gazeti la Majira Michezo Selemani Mbuguni
Rapa mpya wa Bendi ya Extra Bongo, Frank Kabatano  akiimba mara baada ya kutambulishwa rasmi wakati wa sherehe ya kusikilizisha nyimbo mpya za bendi hiyo(Listerning Party) kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...