Mtangazaji
wa Kipindi Kipya Mboni Show, Bi. Mboni Masimba kinachotarajiwa kuruka
hivi karibuni katika sresheni ya EATV akiongea na waandishi wa habari
juu ya kuanza kwa kipindi chake. Pembeni yake ni msimamizi wa kipindi
hicho Bw. George Tyson na msimamizi wa vipindi vya EATV. Kipindi hichi
cha Mboni Show dhima yake ni kuburudisha, kuelimisha, kufundisha,
uonya, uadhibu na kuelekeza jamii ya Watanzania inayokabiliwa na
changamoto nyingi katika maisha ya kila siku. Na pia kipindi kinakusudia
kuleta mapinduzi makubwa katika muendelezo wa vipindi vya mahojiano.
Meneja
wa Vipindi kutoka EATV akizungumza katika uzinduzi huo wa kipindi cha
Mboni Show kinachotarajiwa kuanza kuruka Mei 31 ndani ya EATV.
Msimamizi wa kipindi cha Mboni Show Bw. George Tyson akielezea ubora wa kipindi hicho.
Waaandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
Waandishi wakiwa kazini.
Mtangazaji wa Kipindi Kipya Mboni Show, Bi. Mboni Masimba akiteta jambo na msimamizi wa Vipindi wa EATV.
Lakini pia anapenda muziki, mitindo na ni mjariamali anayemiliki kampuni
yake binafsi iitwayo 'CHOCLATE PRINCES' ambayo inaendesha duka la
mavazi, vipondozi na viatu vya kike lakini pia ndiyo waandaaji wa
kipindi kipya cha luninga 'THE MBONI SHOW'. Picha zote na www.kajunason.blogspot.com
No comments:
Post a Comment