Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 16, 2012

ZANTEL YAMWAGA SIMU 75 KUBORESHA MAWASILIANO ILALA



Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akipokea msaada wa simu 75 kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa Biashara wa Zantel, Ahmed Mokhles kwa ajili ya kusaidia kuboresha mawasiliano katika utoaji  huduma kwa wananchi. Kulia  ni Rashid Tenga, Mkurugenzi wa Kampuni ya Aggrey and Clifford. Hafla ya makabidhiano imefanyika ofisini kwa meya leo .

Silaa akitoa shkurani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...