Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 6, 2013

MI MMASAI BANA NASEMA MI MMASAI NADUMISHA MILA ILE WENGINE ILISHASHINDWA...


Nafurahi sana napowaona Wamasai wakiwa katika moja ya Mila zao popote pale wanapokutana iwe wawili au watatu hapa ni Segerea Stand wamasai hawa huwa kivutio kweli kwa watu wanaoshuka kwenye daladala kuelekea majumbani mwao huwa wanasimama kidogo kuwataza.kiukweli wanadumisha Mila ile wengine tulishashindwa Mi Mmasai bana Nasema Mi Mmasai Kipi najivuni Mmasai fahari yangu....
Hapa ni kuruka kwa kwenda mbele..
Wakijiandaa hapo..

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...