Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, October 6, 2013

RUVU SHOOTING STARS YAWAVUTA SHATI WEKUNDU WA MSIMBAZI KWA KUWALAZIMISHA DROO YA GOLI 1 KWA 1


 Mshambuliaji wa Simba, Haruna Chanongo akichuana na beki wa Ruvu shooting, stephano Mwasyika. 
 Amri Kiemba akichuana beki wa Ruvu Shooting, Abuu Hashim.
 Hekaheka katika lango la Ruvu Shooting.
 Mshambuliaji wa Simba, Betram Mombeki akimiliki mpira huku akizongwa na beki wa Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
 Golikipa wa Ruvu Shooting, Abdul Seif akiokoa moja ya hatari langoni mwake.
 Bertram Mombeki akiruka daruga la beki wa Ruvu Shooting, Abuu Hashim. 
Henry Joseph, Abel Dhaira na Joseph Owino wakibadilishana mawazo wakati wakitoka mapumziko. Picha na Francis Dande

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...