Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, October 10, 2013

SERIKALI YAENDELEA KUTAMBUA UMUHIMU WA SEKTA BINAFSI KATIKA KUCHANGIA MAENDELEO YA TAIFA


 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bi. Joyce Mkinga(Kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu ushirikishwaji wa Sekta Binafsi katika utekelezaji wa mpango wa Maendeleo kwa mwaka 2013/2014,wakati wa mkutano uliofanyika ukumbi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO) Bi. Fatma Salum.
Mchumi Mwandamizi kutoka Ofisi ya Rais, Tume ya Mipango Bw. Andrea Aloyce(Kushoto) akieleza kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Mpango wa serikali wa kuongeza mikopo kwa sekta binafsi kufikia asilimia 20 ya Pato la Taifa ifikapo June 2014 kutoka asilimia 18 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kutoka Ofisi hiyo Bi. Joyce Mkinga. Picha na Hassan Silayo-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...