Elano wa Brazil akijiandaa kupika mpira mbele ya kiungo mahiri wa Taifa Stars, Nizar Khalfan, wakati wa mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa, uliochezwa Dar es Salaam jana. Stars ililala 5-1.
Mrisho Ngasa, Nadir Haroub 'Canavaro' na Abdulhalim Humoud (kulia) wakijaribu watoka washambuliaji wa Brazil Ricardo Kaka na Robinho, wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa, uliochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Brazil ilishinda 5-1.
Mashabiki wa Brazil, wakionesha mabango yenye ujumbe maalum kwa wachezaji wa timu hiyo, Dar es Salaam jana.
No comments:
Post a Comment