Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, December 3, 2011

Fally Ipupa awasili jiji la Dar es salaam


Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Congo,Fally Ipupa akiwa ameongozana na wenyeji wake wakati alipowasili jijini mchana wa leo tayari kwa shoo moja ya Usiku wa Mwafrika mahsusi kwa Wadau wa Club E itakayofanyika usiku wa leo kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar.
Fally Ipupa akiondoka uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere baada ya kuwasili uwanjani hapo leo kwa ajili ya shoo ya Club Embassy.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...