Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, December 5, 2011

TIGO YAGAWA VITABU NA KUDHAMINI MICHEZO UDOM

https://mail.google.com/mail/?ui=2&ik=15bca2b9f1&view=att&th=1340df02cd75dd90&attid=0.1&disp=inline&zwMeneja wa Tigo mkoa wa Morogoro Noel Maktauwa (kulia) akikabidhi vitabu kwamwakilishi wa makamu mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma Dkt. Adam Mwakalobo (katikati). Kushoto ni Dr. Rex Kidyalla ambaye ni mkurugenzi wa Maktaba chuoni hapo. Tigo ilikabidhi vitabu pamoja na vifaa vya michezo kwa ajili ya fainali za mashindano ya Tigo Inter-College yaliyofanyika mwishoni mwa wiki chuoni hapo.
Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya Nick Wa Pili akitoa burudani mjini Dodoma wakati wa hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dodoma iliyofanyika juzi katika Ukumbi wa Club La aziz chini ya udhamini wa kampuni ya Tigo.
Msanii wa Muziki wa kizazi kipya Rogers Lucas akitoa burudani mjini Dodoma wakati wa hafla ya kuwakaribisha wanafunzi wa mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dodoma iliyofanyika juzi chini ya udhamini wa kampuni ya Tigo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...