
Rais Jakaya Kikwete akihutubia maelfu ya wana CCM na wakazi wa Mwanza leo katika kuadhimisha miaka 35 ya CCM uwanja wa Kirumba

Rais akihutubia

Wakimsikiliza Rais JK.

JK akihutubia

Akihutubia

JK akihutubia.

Mama Salma Kikwete na Spika Anne Makinda na wakinamama wakisherehekea miaka 35 ya CCM baada ya kukunwa na wimbo wa Vicky kamata.

Rais Jakaya Kikwete akiongoza matembezi ya mshikamano mapema asubuhi

JK akiwasalimia wakazi wa Mwanza

JK akisalimi

Jk akiongoza maandamano

Maandamano

Maandamano

Maandamano

Wakazi wa mwanza wakipunga mikono wakati wa maandamano
No comments:
Post a Comment