
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila Super D (kulia) akimwelekeza bondia Emanuel Malolo jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es salaam jana.(Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila Super D (kulia) akimwelekeza bondia Said Mtitu, jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Iala Amana CCM, Dar es salaam jana.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
No comments:
Post a Comment