Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 17, 2012

MAKAMU WA RAIS AZINDUA BENKI YA ABC JIJINI ARUSHA LEO, AWEKA JIWE LA MSINGI


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, na Mwenyekiti wa Bodi wa Benki ya ABC ya jijini Arusha, Dkt. Jonas Kipokola, wakifurahia baada ya kuzindua rasmi na kuweka Jiwe la Msingi katika Benki hiyo mpya wakati Makamu alipofika jijini humo kuizindua rasmi .
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja wa Benki ya ABC Tawi la Arusha, Anna Kavishe, kuhusu utendaji wa kazi na ramani ya jengo jipya la benki hiyo, baada ya kuizindua rasmi, jijini Arusha. Wapili (kulia) ni Mke wa Makamu Mama Zakhia Bilal na Kulia kwa Makamu ni Mwenyekiti wa Bodi wa Benki hiyo, Jonas Kipokola.
Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...