Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, April 17, 2012

MASHINDA YA NGORONGORO MARATHON YALIVYONOGESHWA NA TIGO

Mratibu wa Matukio wa kampuni ya simu za mikononi ya Tigo,Edward
Shilla(kulia)akimkabidhi mshindi wa pili wa mashindano ya riadha ya
kupiga vita ugonjwa wa Malaria,Restuta Joseph kiasi cha Sh.150,000
mashindano hayo yalifanyika wilayani Karatu juzi,mashindano hayo
yalidhaminiwa na kampuni ya simu za mkononi ya Tigo.Picha na
mpigapicha wetu
Mshindi wa kwanza kwa wasichana Jackline Sakilu akimaliza mbio
kwa kutumia muda wa saa 1:16:01 katika mashindano ya Ngorongoro
Marathon yaliyofanyika wilayani Karatu juzi yakiwa na lengo la
kupiga vita ugonjwa wa Malaria na yalidhaminiwa na Tigo.Picha na


Wanariadha wakianza kutimua mbio za Ngorongoro Marathon za
kilometa 21 kuanzia lango kuu la Mamlaka ya Hifadhi ya
Ngorongoro(NCAA)zilizofanyika wilayani Karatu juzi,mashindano
yalikuwa na lengo la kujenga uelewa kwa wananchi wa kupiga vita
ugonjwa wa Malaria na yalidhaminiwa na Tigo.Picha na mpigapicha
wetu

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...