Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, April 18, 2012

Rais Kikwete atembelea taasisi ya utafiti wa kilimo na ufugaji

: Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
(PICHA NA IKULU)
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akijaribu kofia aliyopewa kama zawadi na uongozi wa taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) alipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo kuhusu mashine ya kisasa ya kutambua muda wa kumwagilia maji shambani iliyoundwa na taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la Brasilia.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake wakipata maelezo kuhusu ukulima wa nyanya wa kisasa katika taasisi ya utafiti wa kilimo (Brazilian Agriculture Research Enterprise - EMBRAPA) walipoitembelea April 17, 2012 nje kidogo ya jiji la
Brasilia.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...