Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 12, 2012

CHUO CHA SMMUCOS Vs MUCCOBS VYATINGA FINALI,WAKATI WAKINA DADA SINGLES MWANADADA KUTOKA CHUO CHA KCMUCO RAIA WA KIINDONESIA ATWAA UBINGWA AMBAPO PIA SINGLES WAVULANA ALPHAEL JACKSON KUTOKA CHUO CHA MUCCOBS AMEIBUKA BINGWA WAKATI MASHINDANO YA POOL HIGHER LERNING MKOANI KILIMANJARO


 Wachezaji wa chuo cha MUCCOBS wakiwa na furaha mara baada ya kutinga fainali
 Diwani wa Kata ya Soweto Manispaa ya Moshi, Dk.Charles Mbando akizindua rasmi mmashindano hayo kwa niaba ya Mstahiki Meya wa manispaa ya Moshi, Japhari Michael
 Diwani,Dk.Charles Mbanbo akipigiwa makofi mara baada ya uzinduzi rasmi
 Wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali vya Mkoani Kilimanjaro wakimsikilizaa mgeni rasmi
 Wanafunzi wakisikiliza na kufuatilia ufunguzi huo
 Mgeni rasmi,Dk Charles Mbando akizungumza na wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali
 Wanafunzi wakimsikiliza Diwani
 Diwani akizungumzaa na wanafunzi
 Suche akichezaa mchezo wa fainali
 Mpinzani wa Suche, Maryvianney Chizziel akicheza
 Emamanuel Tarimo kutoka chuo cha SMMUCO akicheza dhidi ya Aviwe Mququ wa chuo cha KCMUCO ambapo Emma alishinda mchezo huo
 Aviwe Mququ akicheza dhidi ya Emmanuel Tarimo ambapo Mququ alipoteza mchezo huo
 Emmanuel Belium kutoka mchuo cha SMMUCO akicheza dhidi ya Kim Kungthea wa KCMUCO
Kim Kungthea akicheza

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...