Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 8, 2012

GRANDMALT UDOM


Muwakilishi wa Kampuni ya Bia nchini Kanda ya Kati,Nicksomn Tesha akipanda Mti  katika Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma mapema leo asubuhi wakati wa zoezi la Upandaji Miti katika eneo hilo ikiwa ni sehemu ya Utunzaji wa Mazingira. 
Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam akimwagia maji mti alioupanda leo kwenye Eneo la Kitivo Cha Elimu Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma (U-DOM) mjini Dodoma.Wanaoshuhudia ni Baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma na wadu wa TBL.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...