Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 15, 2012

KAMPENI YA KUCHANGIA FEDHA KWA ALIYA YA KUSOMESHA WAKUNGA YAFANYIKA LEO


Wasanii wa Mjomba Band wakitumbuiza wakati wa Kampeni ya kuchangia fedha zitakazowapeleka wakunga mafunzoni kupunguza vifo vya wajawazito na watpto iliyoratibiwa na AMREF
Mrisho mpoto akiimba mashairi yake

Mama Salma Kikwete akiteta na Dkt. Husein Mwinyi
Mama Salma Kikwete akiteta na Mdau Sauda Simba Kilumanga leo katika viwanja vya mnazi mmoja kwa ajili ya Kampeni ya kuchangia fedha zitakazowapeleka wakunga mafunzoni kupunguza vifo vya wajawazito na watpto iliyoratibiwa na AMREF
Baazi wa wafanyakazi wa AMREF wakicgheza wakati wa kampeni hiyo
Mama Salma Kikwete akioneshwa baadhi ya Majarida ya kuamasisha kampeni hiyo
Mama SAlma Kikwete akikaribishwa katika viwanja vya mnazi mmoja na Dkt. Husein Mwinyi


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...