Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 3, 2012

KATIBU MKUU CCM, MUKAMA ATETA NA BALOZI WA NIGERIA


Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) akizungumza na Balozi wa Nigeria hapa nchini, Ishaya Samaila Majanbu, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.(Picha na Bashir Nkoromo)

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama (kulia) akiagana na Balozi wa Nigeria hapa nchini, Ishaya Samaila Majanbu, baada ya kuwa na mazungumzo, Ofisini kwake, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...