Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 3, 2012

MECHI YA AZAM NA MTIBWA KURUDIWA KESHO UWANJA WA TAIFA

.

Wachezaji wa timu ya Azam wakishangilia goli katika moja ya mechi zao za Lligi kuu ya Vodacom
 Kikosi cha timu ya Mtibwa Suger


KAMATI ya nidhamu ya ligi kuu Tanzania Bara imeamuru mchezo wa Timu ya  Azam na Mtibwa kurudiwa kesho katika uwanja wa Taifa Jijini hivyo ligi itamalizika jumapili. Mechi zote za ligi ama pazia la kumaliza ligi litafungwa jumapili tarehe 06/05/2012.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...