Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 8, 2012

MPAMBANO WA AMIR KHN NA LAMONT PETERSON LAOTA MBAWA

RIVALS ... Amir Khan and Lamont Peterson
Bondia Amir Khan kushoto na Lamont Peterson wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mpambano wao wa kwana

It’s off

Khan bout KO threat

Exclusive

Mpambano uliokua ufanyike May 19 kati ya Lamont Peterson  bingwa wa WBA and IBF light-welterweight belts in Las Vegas mwezi huu zaidi ya watu 4,000 waliokua wameshanunu tiketi kwa ajiri ya mpambano huo kwa sasa umefungwa Kambi ya Khan imesema iwapo alitokuwepo mpambano huo wanafanya jitihada la kuliokoa ilo pambano Peterson kukaguliwa na kukutwa anatumia madawa ya kuongeza nguvu Peterson alimdunda Khan  December mwaka jana baada ya refarii Joe Cooper baada ya kukatwa point mbili kwa kusukuma

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...