Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, May 7, 2012

PPF Kanda ya Mashariki na Kati yakabidhi Msaada wa Madawati 30 katika Shule ya Msingi Kikundi Mkoani Morogoro


Afisa Mwendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), Kanda ya Mashariki na Kati , Paulina Msanga (kushoto) akipeana mkono na Mwanafunzi wa Darasa la Saba katika Shule ya Msingi Kikundi , Latifa Athumani ikiwa ishara ya kukabidhi msaada wa madawati 30 yenye thamani ya Milioni 8/- shuleni hapo katika Manispaa ya Morogoro. Wanaoshuhudia ni Afisa Mwendeshaji wa Mfuko huo,  Astronaut Liganga (wa pili kulia) na Mkuu wa Shule hiyo, Donald Kulwa.

Afisa Mwendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), Astronaut Liganga akiwaangalia wanafunzi, Silasi Zakaria (10) na Monica Seng'unda (10) mara baada ya mfuko huo kutoa msaada wa madawati 30 katika shule hiyo.

Afisa Mwendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa Mashirika ya Umma (PPF), Kanda ya Mashariki na Kati , Paulina Msanga akiwaangalia wanafunzi Silasi Zakaria (10) na Monica Seng'unda (10) mara baada ya mfuko huo kutoa msaada wa madawati 30 katika shule hiyo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...