Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 9, 2012

RAIS KIKWETE KATIKA MDAHALO WA GROAFRICA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa Afrika wakiwa katika mdahalo wa Taasisi ya Kilimo ya GroAfrica, uliofanyika katika jengo la Makao Makuu Mapya ya Umoja wa Afrika (AU) jijini Addis Ababa, Ethiopia leo. Mdahalo huo umefanyika kingoni mwa Mkutano wa Uchumi wa Kimataifa kwa Afrika. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...