Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 4, 2012

SOKO LA MITUMBA TANDALE LAUZWA KINYUME NA SHERIA

Wafanyabiashara ya mitumba wakiwa wamepanga bidhaa zao jana uku kipande cha soko hilo la mitumba lililopo Tandale Dar es salaam ikiwa inasadikiwa kuuzwa kwa mtu binafsi kinyume na sheria za masoko NCHINI
Wafanyabiashara ya mitumba wakiwa wamepanga bidhaa zao jana uku kipande cha soko hilo la mitumba lililopo Tandale Dar es salaam ikiwa inasadikiwa kuuzwa kwa mtu binafsi kinyume na sheria za masoko

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...