Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 3, 2012

SUPER NYAMWELA STAILI ZOTE UMEZIMALIZA WENZAKO WACHEZE NINI?



 KIONGOZI wa wacheza shoo wa Bendi ya Muziki ya Extra Bongo Next Level sitarudia wala kuiga staili shoo ya Twanga hata siku moja.
Akizungumza na mtandao huu amesema haitatokea hata siku moja kucheza kile kilichopita na kudhihilisha hilo kila siku ya mungu sasahivi anaumiza kichwa kubuni staili mpya za uchezaji ambazo zimewafanya wapenzi na mashabiki kuvutiwa zaidi kwa juhudi zake
 Nyamwela amekuwa akiyafanya hayo katika Bendi yake ya Extra Bongo kwa kuwadhihilishia wapenzi wa muziki wa Dansi kuwa yeye ananweza kwa kile alichokiahidi kutoka Bendi aliyotokea kwenda Bendi aliyopo sasa ya Extra Bongo kuwa haitatokea hata siku moja kuiga staili za kucheza alizoziacha katika ya Twanga.
Super Nyamwela kwa sasa ni Kiongozi wa wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo akisaidiana na mwanadada Otilia Bonniphace(Kandoro) ambaye husimama zaidi kwa upande wa kinadada.
Nyamwela zaidi ya ucheza shoo kwa sasa ni mkufunzi wa wacheza shoo ambapo anachuo chake ambapo anafundisha vijana kucheza kwa namna mbalimbali.Chuo hicho kiko Magomeni Mikumi jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...