Wafanyakazi wa kikosi cha zima moto na uokoaji cha halmashauri ya jiji la Dar es salaam kikifanya kazi ya kuzima moto uho uliotokana na mvuke wa mafuta ya kupikia samaki leo

Wafanyakazi wa kikosi cha zima moto na uokoaji cha halmashauri ya jiji la Dar es salaam kikifanya kazi ya kuzima moto uho uliotokana na mvuke wa mafuta ya kupikia samaki leo

Mfanyakazi wa kikosi cha zima moto na uokoaji cha halmashauri ya jiji la Dar es salaam kikifanya kazi ya kuzima moto akisaidiwa na mmoja wa wafanya biashara wa soko hilo moto hu uliotokana na mvuke wa mafuta ya kupikia samaki leo
No comments:
Post a Comment