
Rais wa bendi ya Mashujaa musica Chales Gablie Chaz Baba akiimba wakati wa Bondanza la Pasaka lililodhaminiwa na Kampuni ya Tigo lililofanyika katika viwanja vya Pasta Dar es salaam jana

Viuno Viuno Viuno

Mwimbaji wa Mashujaa Music FFU akiimba

Waimbaji wa bendi ya Mashujaa watoto wa mama Sakina wakicheza jana wakati wa bonanza lililozaminiwa na Kampuni ya Tigo lililofanyika Katika Viwanja vya Posta KIjitonyama Dar es salaam jana

Waimbaji wa bendi ya mashujaa wakiimba wakati wa Bonanza la Pasaka jana

Wapigaji wa vyombo wa bendi ya Mashujaa MUsica wakiwajibika

Baadhi ya Maofisa wa Kampuni ya Tigo wakipata burudani zilizokuwa zikitolewa na bendi ya Mashujaa jana
No comments:
Post a Comment