Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 12, 2012

Mapokezi Ya Filikunjombe Yatikisa Ludewa

 


Mbunge wa jimbo la Ludewa akiwa katika usafiri wa punda baada ya kupokelewa na kutembea zaidi ya kilometa 5 hadi mjini Ludewa leo
Baadhi ya wanafunzi wanaosomesha na mbunge Filikunjombe Ludewa waki
Vyama vya upinzani na CCM Ludewa vyaungana katika mapokezi hayo
Maandamano makubwa ya kumpokea shujaa wa kupambana na vitendo vya ufisadi mbunge Deo Filikunjombe leo
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa katika usafiri wa punda baada ya kupokelewa leo jimboni kwake kutokana na uamuzi wake wa kutia sahihi katika fomu maalum bungeni ya kutokuwa na imani na waziri mkuu Mizengo Pinda na kupelekea kuvunjwa kwa baraza la mawaziri hivi karibuni,Chanzo:mjengwablog

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...