Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 13, 2012

WAHARIRI NA WAANDISHI WA HABARI WAPEWA SEMINA YA MAKAZI


Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe.Said Mecky  Sadiki Akiongea na wahariri na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya mawasiliano mkoa wa Dar es salaam katika semina maalumu kuhusu utekelezaji wa mradi wa anuani za makazi na (postcord) katika mkoa wa Dar es salaam iliyofanyika katika makao makuu ya mamlaka mawasiliano Tanzania jana jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya mawasiliano Tanzania Prof John Nkoma akitoa maelezo kuhusu utekelezaji wa mradi wa anuani za makazi na (postcord) katika semina hiyo.
Baadhi ya wahariri na waandishi wa habari pamoja na wadau wa sekta ya mawasiliano mkoa wa Dar es salaam wakiwa katika semina maalumu kuhusu utekelezaji wa mradi wa anuani za makazi na (postcord)katika mkoa wa Dar es salaam iliyofanyika katika makao makuu ya mamlaka mawasiliano Tanzania jana jijini Dar es salaam.
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe;Said Mecky  Sadiki Akiongea na  waandishi wa habari mara baada ya semina hiyo kumalizika.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...