Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, May 7, 2012

MTANANGE BBA NDIO UMEANZA SASA, COUPLES WATA-SURVIVE????


BBA StarGame imeanza kwa kuwaingiza Housemate ktk jumba wakitanguliwa na Show ya Msanii wa Marekani J.COLE kutoka Marekani.
Washiriki wamegawanywa ktk sehemu mbili ambapo kuna UPVILLE House walikoingia maVIP 7 ambao ni wasanii na wanamitindo kutoka Kenya, Ghana, Namibia, Nigeria, South Africa, Zimbabwe na Zambia ktk picha hapo juu. Jumba la DOWNVILLE wameingia washiriki wa kawaida wakiwa ktk pair ya marafiki, ndugu na wapenzi, ambapo Tanzania wameingia mtu na rafikiyake   tangu wakiwa wadogo Hilda na Julio.
Mtanzania, HILDA

Mtanzania JULIO
Walioingia na Wapenzi wao wata-Survive ktk Uhusiano wao?? Sababu kuna ving'asti kibao vimeingia vikiwa single!!

Baada ya Housemate kuingia Downville, IK mc wa show hio alitangaza Automatic Nomination kwa washiriki kutoka TANZANIA na ZIMBABWE kwa ajili ya kutolewa ktk mashindano Jumapili ijayo. Atakayepata kura chache zaidi atatoka

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...