Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 10, 2012

RAIS DK SHEIN AZUNGUMZA NA WIZARA YA AFYA



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Afya,katika utekelezaji wa mpango wa kazi za Wizara hiyo huko Ikulu
Mjini Zanzibar jana,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar
Maalim Seif Sharif Hamad.  [ Picha  na Ramadhan Othman,IKULU.
Baadhi ya watendaji wa Idara mbali mbali za Wizara ya
Afya,wakimsikiliza Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza nao katika
mpango wake wa kuzungumza na kila Wizara katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Unguja. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...