Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 10, 2012

Simon Collery na Amina Ismail wameremeta jijini Dar es salaam


Amina Ismail  mumewe Simon Collery wakipozi kwa picha huko Kunduchi Beach Hoteli.

Hapa maharusi wakiakata keki wakati wa shertehe yao kwenye hoteli ya Atriums Afrika Sana jijini dar es salaam.

Bwana harusi Simon Colleryakisaini hati ya ndoa huku bibi harusi Amina Ismail na mpambe wake wakiangalia,
 Ndugu na jamaa wakipiga picha ya pamoja na maharusi.
 Mambo ya kupasha tumbo yaani chai.
Mdau Dina Ismail  wa www.mamapipiro.blogspot.com kulia akiwa katika picha ya pamoja na maharusi, watoto wake pamoja na ndugu wengine wakipata kumbukumbu na maharusi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...