Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 6, 2012

SIMBA NI VIFIJO NA NDEREMO KILA MAHALA


 Ubao ulivyokuwa unasomeka baada ya Yanga kupigwa na Simba mabao 5 kwa nunge katika Ligi Kuu ya Vodacom, kwenye Uwanja wa Tgaifa, Dar es Salaam leo.
Wachezaji wa Simba wakishagilia ubingwa baada ya kukabidhiwa kombe na Waziri Mteule wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenela Mkangala
 Waziri Mteule wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mkangala (kushoto), akimkabidhi kombe la ubingwa wa Tanzania Bara baada ya mechi na Yanga kumalizika leo kwenye Uwanja wa Tgaifa, Dar es Salaam. (PICHA ZOTE NA KAMANDA MWAIKENDA)

Wachezaji wakifurahia kombe
                                                 Simba wakishangilia ubingwa kiaina
Kocha wa Simba Milovan Circovic akiwa amebebwa na wachezaji
Wachezaji na viongozi wa Simba wakicheza mduara baada ya kuifunga Yanga mabao matano na kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara
 Wapenzi wa Simba wakishangilia ushindi wa mabao matano dhidi ya Yanga pamoja na ubingwa
                                                  Ni furaha kwa Simba kila mahala

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...